zee la weza
Senior Member
- Feb 7, 2012
- 190
- 29
Somahapa www.ufyetele.blogspot.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stress ni mbaya zaidi y alosto y unga asikwambie mtu istoshe umaarufu unakuja wenyewe siyo by force.iko cku ataumbuliwa n hivyo vitoto vya kike kutwa kucha anatukanana nao
aah sawa hata.mi najua dingi mchaga
Mpenzi usisahau kuwa wengi wao huwa inakuwa kizuri kabla hujakipata na kukimiliki jumla.... ukishakipata unakipa thamani ua 'ukawaida' ilhali jirani anakikodolea macho.
Huko kwenye 'vituo vya daladala' huwa wanafuata fame, majina nae aonekane anatoka na mtoto mkali wa mjini na wengine wananaswa na 'mitego ya kalumanzila' bila kujijua.
Ndio maana dini zinashauri wanawake kuwaombea sana waume na ndoa zao kila watokapo na waingiapo maana ibilisi amelikamata sana hili gurudumu la ndoa. Hali kadhalika waume nao wapaswa kuwaombea wake na ndoa zao. Mwanaume simply because umemuoa mwanamke ukamzalisha na kumweka ndani haimaanishi kuwa ndio mwisho wa yeye kutamaniwa au kupendwa msijiridhishe.
Nishakuja dea
Stress ni mbaya zaidi y alosto y unga asikwambie mtu istoshe umaarufu unakuja wenyewe siyo by force.iko cku ataumbuliwa n hivyo vitoto vya kike kutwa kucha anatukanana nao
hahaaa atakuja kukushua sasa hv
Unaacha mkeo ndani...
Mwanamke wa haja...
Unafata cha wote ptuuuuu...
Hamna cha kuniambia huyo mzee najua maisha zaidi yke istoshe aache sifa z kijinga n kujifanya kila tajiri anamjua.ndoa y mengi angejua tarehe angezamia huyo mana hana mshipa w aibu
muone mke halali wa ndoa na huyu chepuko lulu
kama we ni mwanaume wa kweli michepuko muhimu kudumisha ujirani mwema!!
Maziku umemaliza FOE?mwaka gani?wazee walishasema, sasa najionea mwenyewe. Huyu binti akifika miaka 40 atakuwa amefanya mauji ya halaiki aseee
Haya.... wanaume wa ukweli....
Kuchovya chovya hadi kiishe
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.
huyu mtoto namuonea huruma huku simuonei huruma. ni mtoto mdogo mno kukumbwa na visanga kama hivi. na yote hii ni kuvamia maisha katika umri mdogo, kujiona umekua wakati bado una safari ndefu. Watoto wa umri wake wako chuo wanasoma ili wawe na elimu waweze kujitegemea, yeye katika umri huu yuko busy kusaka waume za watu wenye pesa maana bongo limejaa matope, hawezi kutulia akasoma, anataka short cut. Siku zote ukitaka short cut ya maisha, unakumbwa na mikasa kama hii. Hana tofauti na jambazi. Alitamba sana muda si mrefu kwenye kipindi cha Zamaradi kua yeye ni mchaga anaipenda pesa na anajua kuitafuta... kumbe kuitafuta kwenyewe si kwa kujituma akajulikana anachokifanya, bali ni kuvunja ndoa za watu na kuvuliwa pichu... mwenyezi mungu tunusurie watoto wetu wasifikie alikofikia huyo mtoto mdogo mwenye malezi mabovu... nasema mabovu maana mama yake anaonekana kufurahia sana haya maisha ya huyu mtoto. Sidhani hata kama kuna siku ameshawahi kumkalisha chini na kumkemea hii tabia au kumshawishi arudi shule. majaribu anayopitia, ni ujumbe kua amevamia mambo makubwa angali mdogo, hivyo anatakiwa kutulia sasa. Nina imani mwanaume mwenye akili timamu atamuogopa huyu binti kama ukoma, unless kama hujipendi. wako wanaosema siku za hawa wanaume zilifika, sikatai, lakini why always siku zifike ukiwa katika mahusiano na huyu binti...??? something is wrong somewhere, amrudie mungu wake. mke wa huyu marehemu RIP, aliumia sana kwa ajili ya huyu mtoto, machozi yake ndio yameleta majibu kama haya. naomba hili liwe fundisho kwa mabinti wote wenye kupenda short cut katika maisha kwa kuvuruga ndoa za wengine.