tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hahahaaa! Mimi nawasaidia wanawake wengine na kutoa tahadhari kwa yule niliyemkabidhi moyo.
Thou namkubali na kumuamini sana lakini hili jambo sio la kufumbia macho hasa mwanaume akiwa na visenti ndio mnatufanya tusilale kwa amani.
Kumbee unajua hilo halafu unajitoa ufahamu mumeo atabaki kua mumeo tu pia hawara yeye ataishi kwa kuvizia hana raha y kulala utupu kma mwenye mali kila cku yuko nayo ucku kucha