Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Hahahaaa! Mimi nawasaidia wanawake wengine na kutoa tahadhari kwa yule niliyemkabidhi moyo.
Thou namkubali na kumuamini sana lakini hili jambo sio la kufumbia macho hasa mwanaume akiwa na visenti ndio mnatufanya tusilale kwa amani.

Kumbee unajua hilo halafu unajitoa ufahamu mumeo atabaki kua mumeo tu pia hawara yeye ataishi kwa kuvizia hana raha y kulala utupu kma mwenye mali kila cku yuko nayo ucku kucha
 
Kiukweli tukiweka mambo ya imani za kidini pembeni hakuna mwanamke anayetaka au kukubali kushea mwanaume.
Achana naye huyo.

Wewe nifah wake 4 ndio mpango mzima ilimradi uweze kuwatunza n mechi z kutosha.maisha n magumu wanawake wanataka mteremko tu
 
Wewe nifah wake 4 ndio mpango mzima ilimradi uweze kuwatunza n mechi z kutosha.maisha n magumu wanawake wanataka mteremko tu

Kwani mimi nakataa? Hapa tunafurahisha genge tu mwisho wa siku utajuana na mwanamke wako mimi nitakufa na mwanaume wangu.
Kwetu michepuko haina nafasi mazee.
 
Mi sioni haja ya kumpa pole Lulu coz amekuwa akiwatoa kafara yy then si tunahangaika kutoa michozi yetu pole zangu ziende kwa Mke Wa ndoa Wa marehemu lakini Lulu nooooo kaua Wawili sasa
 
Kumbee unajua hilo halafu unajitoa ufahamu mumeo atabaki kua mumeo tu pia hawara yeye ataishi kwa kuvizia hana raha y kulala utupu kma mwenye mali kila cku yuko nayo ucku kucha

Huo ndio ukweli uliopo kwa wengine kama hapa tunavyodiscuss lakini sio kwangu mazee.

Namuomba sana Mungu na kumkabidhi mahusiano yangu mikononi mwake.
 
Ni kumwomba Mungu tu, manake mwanaume wa peke yako sidhani kama yupo, mimi nashukuru Mungu wangu siyo muhongaji, cos michepuko huwa inalalamika,. Nikuomba uvumilivu ili tulee watoto, dunia ya leo ndoa zinachangamoto sana, wakati mwingine huwa naangalia wanangu naishi tu kumwaga machozi na kumwambia Mungu nashukuru kwa yote.
 
asante kwa taarifa ya msiba lkn nasikitika kwamba ( title ) ya habari hii imekaa kinafki kwani ingetosha tu kutuambia tukio la umauti wake, jina lake, labda na wasifu wake au kazi yake, lkn c kutuambai aliyekuwa mpenzi au hawara wa ----- tena kwenye title ya taarifa.
huko ni kumdhalilisha marehemu

Yaani busara kiduchu tu ilihitajika.... Watu wanaomboleza yeye analeta mipasho. Ubinadamu hakuna.
 
Ni kumwomba Mungu tu, manake mwanaume wa peke yako sidhani kama yupo, mimi nashukuru Mungu wangu siyo muhongaji, cos michepuko huwa inalalamika,. Nikuomba uvumilivu ili tulee watoto, dunia ya leo ndoa zinachangamoto sana, wakati mwingine huwa naangalia wanangu naishi tu kumwaga machozi na kumwambia Mungu nashukuru kwa yote.

Very touching!
 
Back
Top Bottom