Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Pole sana baba style tupo pamoja
 
Tunaweza kufanya nini sisi kama jamii kumsaidia matibabu Noorah?

Hapa kwenye kufanya nini watu wataingia mitini! Msaada wa haraka ni matibabu na cash aliye tayari anitokeze tuonyeshe tofauti
 
Hapa kwenye kufanya nini watu wataingia mitini! Msaada wa haraka ni matibabu na cash aliye tayari anitokeze tuonyeshe tofauti

Mimi nipo tayari. Hakuna ugonjwa usio na matibabu . Kama tupo serious tutauomba uongozi wa JF utoe namba ya kutuma michango hiyo then waifikishe kwa niaba yetu.
 
Tunaweza kufanya nini sisi kama jamii kumsaidia matibabu Noorah?[/QUOTE
Hilo neno mkuu maana tukiwa live kule uswahilini ni tofauti na tukiwa humu, uswahili mtu anapewa maneno ya kutiwa moyo na nguvu lakini humu ukisoma comment mbona utakoma
 
Noorah Yuko Shinyanga chini ya uangalizi wa baba yake! NDO anamtibia tuombe tu kudra za Mwenyenzi Mungu... Ila baba yake Ana uwezo wa kulipia matibabu ya mwanawe! Na anafanya hvo!!

Nafanya kwa upendo tuu Pukudu hata hivyo nimefurahishwa na hii taarifa
 
Last edited by a moderator:
Nafanya kwa upendo tuu Pukudu hata hivyo nimefurahishwa na hii taarifa

Najua ni Kwa upendo! Kwa jinsi ulivyoguswa uguswe pia kwa dua na sala, wanahitaji maombi yetu Saaana!
Zaidi zaidi KIZAZI chetu hiki maana!
 
Najua ni Kwa upendo! Kwa jinsi ulivyoguswa uguswe pia kwa dua na sala, wanahitaji maombi yetu Saaana!
Zaidi zaidi KIZAZI chetu hiki maana!

Ni kweli kabisa usemacho Pukudu! Lakini zaidi ya maombi nasi tuna sehemu ya uwajibikaji kwa kuwafuatilia kwa karibu maisha yao kwa nia ya kujenga
 
Last edited by a moderator:
wabongo wazushi sana. Nura hana ukimwi wala virusi vya ukimwi. Mke wake alifariki kwa matatizo ya kansa ya kizazi, ASAP

Lakini pia nilisikia katika clouds kasema mkewe amefariki kwa ugonjwa wa kifua.Sasa sijui kipi ni sahihi il a gonjwa lolote linaweza toa roho ya mtu.
 
Lakini pia nilisikia katika clouds kasema mkewe amefariki kwa ugonjwa wa kifua.Sasa sijui kipi ni sahihi il a gonjwa lolote linaweza toa roho ya mtu.
miss strong ukweli ambao hautakaa ubadilike ni kwamba KAFARIKI hiyo ndio sahihi mengine yooote yatabaki assumption za binadamu
 
Last edited by a moderator:
 
mnamshambulia mwenzenu nyie mmepima au mnaongea tu,hata kama ni ukimwi nani yuko salama
 

Nakuunga mkono. Taarifa kamili ni muhimu ili kama tuna sympathise tuwe real. Tatizo la wasanii wetu hapa Tanzania, wanajijua ni wagonjwa wa ile kitu na wanapenda kuendekeza starehe zile zile. Sitaki kuhukumu kuwa wanakufa kwa ugonjwa gani lakini kwa maelezo yasivyoeleweka mara zote conclusion zitujiazo ni ugonjwa mkubwa, maana maisha yao tulikuwa tukiyaona, sasa wanapoumwa umwa maelezo yatolewayo majukwaani yanazunguka zunguka. Ushauri wangu wasanii licha ya umaarufu wao Wajitunze, wasijiweke kwenye mazingira hatarishi kwa style zao za kimaisha. Siamini kwamba mwisho wa wasanii lazima uwe namna hii ninayoiona. Hatuchagui kifo lakini kuna mambo ambayo yanatuweka far from the red line na yapo yanayotuweka near the red line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…