Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

hiki kifua hiki ni hatarii,Noorah mwenyewe damu yake ina vimelea vinavyosababisha ugonjwa wa kifua.RIP Mrs Noorah
 
hiki kifua hiki ni hatarii,Noorah mwenyewe damu yake ina vimelea vinavyosababisha ugonjwa wa kifua.RIP Mrs Noorah

unasema kweli!!na yeye ana kifua?! pole mashabiki wenzangu...
 
R. I. P. Kifua hatari sana nishaona mtu ameumwa kifua akaisha hadi noma.
 
Mmh wasanii wabongo kufa na kifua imeshika headline wajitahidi wawe wanafanya check up
RIP mdada
 
Mungu amlaze mahali pema mama Noorah(mkewe)..pia amponye jamaa na ugonjwa unaomsumbua..ni wakati mgumu sana kufiwa mahali we mwenyewe ni mgojwa,walikuwa na watoto!!!?
 
Back
Top Bottom