Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Dah nilikuwa naipenda sana sauti yake hata mimi. yeye na juliana kanyomozi,emmanuel nkulila ndio nawakubaligi kwa ug.Daah maskini nilikua naipenda sana sauti yake, Mungu ampumzishe kwa amani.
Hilo tak.o kwenye avatar yako huwa linanimalizia sana sabuni.Rest well ,my classmate
huyu tunaweza kusema hivyo maana kakulia kwa chamillion lakini mdogo wa chamilion anaitwa weasel ndo walikuw kundi moja na ni marafiki wa kitambo sana toka viduduRadio ndo yule mdogo wake na Jose chamilion
Kuna mada nimesoma humu et amepigana na baunsa wa club akapigwa na kitu kizito kichwani, which is which?Alipata ajali mwezi uliopita
Radio ndo yule mdogo wake na Jose chamilion
Dah rest in peacehuyu tunaweza kusema hivyo maana kakulia kwa chamillion lakini mdogo wa chamilion anaitwa weasel ndo walikuw kundi moja na ni marafiki wa kitambo sana toka vidudu
Vyanzo vingi, ugomvi sio mzuriKuna mada nimesoma humu et amepigana na baunsa wa club akapigwa na kitu kizito kichwani, which is which?
S ndio yule ameimba ile where you are qlishirikishwa na blue3 love??Vyanzo vingi, ugomvi sio mzuri
Apumzike Kwa amani