Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Pole sana jumuia ya wasanii wa East Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la voice.!UNAPENDEZA SANA SANA ZUU WEE ZUWENA
Hizi nyimbo zimenamba sana huku BK1. Nakudata (remixed as ring a bell)
2. Kuku
3. Bread and butter
4. Ability ft Rabadaba
5. Juju ft Tonics
6. Where you are
7. Sweet lady
8. Neera (radio only)
9. Zuena
10. Magnetic
Hizo ndio maddest tunes of his time
kweli kitoko ugomvi sio mzuri1 r.i.p ugomvi sio mzuri
LAZIMA ATAKUWA UPANDE WA M7 MAANA NIMEONA MAHALI AMETWEET KUOMBOLEZAAlikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
Wewe ni Harmo Rapa nn?[emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]R.I.p radio nilikuwa napenda sana wimbo wake wa zuwena.
Mm ndio maana huwaga naishiaga kuchonga tu mdomo nikiambiwa mambo ya ngumi natimua mbio sio za nchi hii madhara take ndio kama hayo sasa..kazi ya mungu haina makosa
Haaaa nahisi tunafanana tabia kuongea tu naweza hata kukesha lakini ukiniambia mambo ya ngumi sana sana nitakwambia pigana na ukuta kama sijatoka mbio....sitaki kabisa mambo ya hatari mimiWewe ni Harmo Rapa nn?[emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]