TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

RIP

Nakuamini nakudata

Kuna jamaa huku kipindi hicho alichapisha maandishi hayo kwenye TSHirt

Daaaah
 
1. Nakudata (remixed as ring a bell)
2. Kuku
3. Bread and butter
4. Ability ft Rabadaba
5. Juju ft Tonics
6. Where you are
7. Sweet lady
8. Neera (radio only)
9. Zuena
10. Magnetic

Hizo ndio maddest tunes of his time
Hizi nyimbo zimenamba sana huku BK
 
kwa wale wenye dikoda za azam tv angalieni channel ya Spark TV muda huu wanaonyesha live
 
Ability na Bread & Butter nazielewa sana.......M.A.P Radio.
 
MATUKIO KWA VIDEO KUTOKA MSIBANI UGANDA :Maelfu ya watu wafurika Hospitalini... Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi... Wote tuseme #AMEN/RIP.
R.I.P Ugandan musician Moses Ssekibogo.

Msanii wa muziki nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki dunia​

Mwanamuziki huyo alikimbizwa Hospitali ya Nsambya siku ya tarehe 23 Januari, 2018 baada ya kuanguka na kuvunjika shingo na fuvu la kichwa wakati akiwa kwenye ugomvi na mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe.
Hata hivyo Hospitali hiyo haikuweza kumhudumia kutokana kuwa kitengo cha wagonjwa mahututi kujaa ndipo msanii huyo alihamishiwa Case Clinic iliyopo Bungando Road jijini Kampala, na kufariki dunia.
 
Daaah, huyu mwana alikua anajua sana. Daaah, maisha haya.
 
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
LAZIMA ATAKUWA UPANDE WA M7 MAANA NIMEONA MAHALI AMETWEET KUOMBOLEZA
 
R.I.p radio nilikuwa napenda sana wimbo wake wa zuwena.

Mm ndio maana huwaga naishiaga kuchonga tu mdomo nikiambiwa mambo ya ngumi natimua mbio sio za nchi hii madhara yake ndio kama hayo sasa..kazi ya mungu haina makosa
 
Huduma ya afya Uganda kunamapuuza. Haiwezekani Mgonjwa kaja mahututi mnasema hamuwezi kumpa huduma 7bu kumejaa. Mm kwa uelewa wangu kwenye hao mahututi waliowahi kunawengine lazma watakua walikua washapata huduma ya kwanza. Hapa nimenote Uganda sekta ya afya wapo hvyo kuliko hata Tz.
 
R.I.p radio nilikuwa napenda sana wimbo wake wa zuwena.

Mm ndio maana huwaga naishiaga kuchonga tu mdomo nikiambiwa mambo ya ngumi natimua mbio sio za nchi hii madhara take ndio kama hayo sasa..kazi ya mungu haina makosa
Wewe ni Harmo Rapa nn?[emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Helena

Ray ujumbe wako Huu

Pumzika baba tupo nyuma yako
 
Back
Top Bottom