Pole sana wana familia ya E FM na TVE kwa pigo lingine...
Nilikuwa sijamsikia radio kama miezi miwili kama sio mitatu na ni nwazi alikuwa anaumwa kwa muda mrefu.
Huyu jamaa ni mmoja ya watangazaji walio kuwa wataalam wa majingle..na mchekeshaji mzuri sana...
Msife moyo kwani Mungu hatuwezi kumpangia pakuvuna wala muda wa kuvuna...yeye ndiye anajua lakini tunacho omba ni awape faraja tuu maana yeye ndiye ana panda na ndiye mvunanaji..
Hakika ni lazima kila mtu atakufa hata akiwa wapi....lakini inauma sana vijana wadogo wakiwa wana ondoka mapema sana....bila shaka huyu chogo alikuwa ana miaka 34 duu na kwa hali ya tanzania sidhani kama alishatimiza ndoto zake....
Vijana wana zikwa na wazee,,,,aiseeee ina sikitisha sana tena sana...