Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Mimi nimepigwa na butwaa haki tena, watu wako busy kumnanga dada wa watu, kumsimanga na kumtafutia marehemu baba jamani.... Hebu walau tumwogope Mungu na kukumbuka kuwa dunia ni njia wote tu safarini. Zaidi sana hakuna mkamilifuHivi mtu unapata uthubutu upi wa kumnyooshea kidole binadamu mwenzako tena kipindi cha msiba[emoji15]
Hii tabia ya watanzania kuingilia maisha ya watu inazidi kuota mizizi. Njia pekee ya watu kuacha hii tabia ni maisha yazidi kukazwa nati. Kupata mlo iwe shida mbona akili zitatukaa sawa.
Am sure ulishuhudia wakati mimba inatungwa madamHahahahah....mkuu
Casto sio baba ake na ndio maana anatuangalia tu waja tukirusha madongo
8. Tuwasamehe Bure vioo vya jamiiFundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Namjulia wapi mie mpk nimpost? Page yenyewe ya instagram sina. Nimesiitika tuu mtt kufariki na huumia kifo cha mtt yoyote yule awe wa staa au huku mtaani. So dont Qoute me wrong broKuomboleza muomboleze, ila sio kujifanya mmeumia saaaana kisa nimtoto wa star, yaan DP za wasap za wadada toka juzi nipicha ya mtoto, uko IG. FB ,ndo usiseme...wakat huo huo kuna jiran au ndugu alifiwa na mtoto au jamaa ake lkn ukaishia kumpigia simu kumpa pole au hata ukajifanya uko bize .. Watu wapuuzi sana.
Mtoto kafa, kafa, mwacheni apumzike ,sio wakati wakumchoresha ovyooo ovyoooo ,,, mbona alipokua mzima mlikua hamumpost namna hiii??? Hii ni akili au matope yakufugia minyooo??.
Watu wapuuzi sana, kumbe siku mnakua napicha za watu miaka nenda miaak rudi bila kuwajulia hali, wakishakufa ndo muanze kuwapost???? Nakujifanya mnawajua sana?? ....
Sawa basi niliamin naww nimoja ya abiria walopo ndani ya behewa la ujinga upuuzi na unafiki usokua na maana.Namjulia wapi mie mpk nimpost? Page yenyewe ya instagram sina. Nimesiitika tuu mtt kufariki na huumia kifo cha mtt yoyote yule awe wa staa au huku mtaani. So dont Qoute me wrong bro
Clouds naona wapo mbezi Kwa Muna huu msiba utazua mengi Sana.Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kwa ndugu Peter Zacharia Komu ambapo ndipo msiba huo ulipo. Ndugu Peter amefunguka mengi na kusema Muna ni mkewe wa ndoa na walimzaa Patrick wakiwa ndani ya ndoa. Amesema amekuwa akimhudumia mtoto huyo kuanzia matibabu yote, matunzo na ada ya shule na kueleza kuwa Casto si baba wa mtoto huyo kama watu wanavyopotoshwa. Dada wa Muna naye amefunguka na kubainisha kuwa familia inafahamu mtoto huyo ni wa Peter na siyo Casto.
Huyu Dada asipojifunza Kwenye Hili basi Tena.Hivi nyie mnamwana mama yake zinamtosha kichwani na ulokole wake feki?
mkuu hawa ndiyo watanzania, wapo busy na yasiyo wahusu.Watanganyika ni wa kuwasamehe bure tu saa nyingine.
Na kama hujui ni kwa nini Wstanganyika ni maskini basi hizi ndio sababu halisi, mtu ambaye analeflect maisha yao hawana habari ila issue za makahaba zinashikiwa bango.
Hivi kitoto kama hichi uanzee kukivalisha kama P Diddy si unakikaribishia mapepo bure tu bila wewe mwenyewe kujuwa?
View attachment 802352
Mtoto sio wa castorFundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Nakuunga mkono mdau.Kitoto chenyewe kimelelewa hovyo, sijui mzazi alitrgemea aweje baada ya miaka 10
Mtoto sio wa castor
Dah sichoki kuangalia pic za huyu mtoto, mzuri urafikiri alishushwa kutoka mbinunu?