inawezekana....ila Muna katisher!!!Kuna kitu nawaza maybe muna hataki mtoto azikwe na peter na ndo sababu anang'ang'ania kuwa mtoto ni wa casto sababu casto hatakua na mamlaka ya kuamua juu ya mazishi so anafanya hivyo ili asibugudhiwe na baba wa mtoto
au anataka kumkomoa kwa ishu zao za nyuma.
Mana niliona mahojiano ya casto akisema amejua mtoto anaumwa kupitia mitandaoni tofauti na huyu peter ambaye alitoa hela ya matibabu pale agha khan na hela ya ndege kwenda kenya.
Kama mtoto hakua wa huyo baba kwanini alikua anambebesha gharama zote hizo wakati baba mzazi casto yupo na taarifa hakua nazo??
Mimi ningezika huko huko baasi!Kabisa wakamzike bwana
Kweli uko sahihi kabisaa wengi wanahisi kaandika yeye ila muna hana uandishi ule na hata nguvu ya kuweka huwezi ipatapengine inawezekana ameandikiwa lakini angekaa kimya au mtu tu wa karibu akasema itokee wenye akili ya kufikiri ya haraka kama weee kua hakuandika yeye unaweza kuimagine wangapi watakua wamefikiri hivyo
Huyu ndo Peter sasa
Wangeyamaliza wakazika wanmdhalilisha huyo mtoto tuMimi ningezika huko huko baasi!
Aya ngoja tuendelee kusoma na kuona yajayoKweli uko sahihi kabisaa wengi wanahisi kaandika yeye ila muna hana uandishi ule na hata nguvu ya kuweka huwezi ipata
Ni ngumu kukaa kimya Lengo ni kuclera msiba upo wapi!
Mimi nimekiona amehojiwa baba wa mtoto global publisher
Na mimi pia naunga mkonoNakuunga mkono mdau.
Nakazia[emoji375] [emoji375] [emoji375]Ila wanaume tujitahidi sana kuchagua wanawake wa kuwaoa/kuzaa nao....huyu mwanamke ni true figure of a who.re......anaiaibisha sana familia yake....
Hivi siku IG ikafungwa,nini kitatokea kwa hawa wapenda show offHapana unajua watu walikua na mkanganyiko wa msiba na yeye ndo kila kitu ukute walio nae karibu walimuambie aseme na ukute hajaandika yeye ameandikiwa pia watu walikua waende wapi mwananyamala au mbezi!
Ndo maana ametoa hyo statement IG maana kwa watu maarufu pale ndo kila kitu kwa taarifa
DNA na maiti[emoji41]Hii drama yao inaweza kuishia kwenye DNA
Yaaani Kama mimiMi mpaka sasa sioni uchungu ,,mana niliumia kama namjua dogo. Sa ivi najiona kawaida tu baada ya hzi hekaheka
Wanawake juu,,,muna kaaibika tuseme za maukweli
Ndio inawezekanaDNA na maiti[emoji41]
Hzi drama ni za kitoto pia, ujue mtu usipojiheshmu utaishia kudharaulika na jamii, haiwezekani mtu unashndwa kujieshmu hata kwa mtoto wako.Hii drama yao inaweza kuishia kwenye DNA
pengine inawezekana ameandikiwa lakini angekaa kimya au mtu tu wa karibu akasema itokee wenye akili ya kufikiri ya haraka kama weee kua hakuandika yeye unaweza kuimagine wangapi watakua wamefikiri hivyo
Watarudisha michezo ya kuigizaHivi siku IG ikafungwa,nini kitatokea kwa hawa wapenda show off