TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Kuna kitu nawaza maybe muna hataki mtoto azikwe na peter na ndo sababu anang'ang'ania kuwa mtoto ni wa casto sababu casto hatakua na mamlaka ya kuamua juu ya mazishi so anafanya hivyo ili asibugudhiwe na baba wa mtoto
au anataka kumkomoa kwa ishu zao za nyuma.

Mana niliona mahojiano ya casto akisema amejua mtoto anaumwa kupitia mitandaoni tofauti na huyu peter ambaye alitoa hela ya matibabu pale agha khan na hela ya ndege kwenda kenya.
Kama mtoto hakua wa huyo baba kwanini alikua anambebesha gharama zote hizo wakati baba mzazi casto yupo na taarifa hakua nazo??
inawezekana....ila Muna katisher!!!
 
pengine inawezekana ameandikiwa lakini angekaa kimya au mtu tu wa karibu akasema itokee wenye akili ya kufikiri ya haraka kama weee kua hakuandika yeye unaweza kuimagine wangapi watakua wamefikiri hivyo
Kweli uko sahihi kabisaa wengi wanahisi kaandika yeye ila muna hana uandishi ule na hata nguvu ya kuweka huwezi ipata

Ni ngumu kukaa kimya Lengo ni kuclera msiba upo wapi!
 
Kweli uko sahihi kabisaa wengi wanahisi kaandika yeye ila muna hana uandishi ule na hata nguvu ya kuweka huwezi ipata

Ni ngumu kukaa kimya Lengo ni kuclera msiba upo wapi!
Aya ngoja tuendelee kusoma na kuona yajayo
 
Mi mpaka sasa sioni uchungu ,,mana niliumia kama namjua dogo. Sa ivi najiona kawaida tu baada ya hzi hekaheka

Wanawake juu,,,muna kaaibika tuseme za maukweli
 
Hapana unajua watu walikua na mkanganyiko wa msiba na yeye ndo kila kitu ukute walio nae karibu walimuambie aseme na ukute hajaandika yeye ameandikiwa pia watu walikua waende wapi mwananyamala au mbezi!

Ndo maana ametoa hyo statement IG maana kwa watu maarufu pale ndo kila kitu kwa taarifa
Hivi siku IG ikafungwa,nini kitatokea kwa hawa wapenda show off
 
Dadadeq leo ndio nimeamini hawa wanawake wa instagrama ni laana tupu..
Yaani huyo peter siku zote anaamini mtoto ni wake kumbe alichapiwa halafu anakuja kuambiwa siku ya msiba...
Hii sio fair hata kidogo..

Huyu mama angecha mtoto azikwe kwanza hilo battle la mtoto likaendelea dogo akishapumzika
 
Kuna post muna kamlalamikia milly kwa alichokisema kuhusu pat kuumwa ile post na hii ya kumtaja casto kama baba wa mtoto mwandiko mmoja emoj zile zile

Back
Top Bottom