Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
inawezekana....ila Muna katisher!!!Kuna kitu nawaza maybe muna hataki mtoto azikwe na peter na ndo sababu anang'ang'ania kuwa mtoto ni wa casto sababu casto hatakua na mamlaka ya kuamua juu ya mazishi so anafanya hivyo ili asibugudhiwe na baba wa mtoto
au anataka kumkomoa kwa ishu zao za nyuma.
Mana niliona mahojiano ya casto akisema amejua mtoto anaumwa kupitia mitandaoni tofauti na huyu peter ambaye alitoa hela ya matibabu pale agha khan na hela ya ndege kwenda kenya.
Kama mtoto hakua wa huyo baba kwanini alikua anambebesha gharama zote hizo wakati baba mzazi casto yupo na taarifa hakua nazo??