Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Watanganyika ni wa kuwasamehe bure tu saa nyingine.Natoa pole kwa wafiwa wote.
Lakini kila kitu ni upuuzi mtupu.
Sijaona cha maana au cha msingi cha kufanya kifo cha huyo mtoto kuwa story za kuvuma mitandaoni. Ni ulimbukeni mtupu.
Huyo mtoto ni nani?
Wazazi wake ni wakina nani?
Kuna kitu gani so special kumhusu huyo mtoto au wazazi wake?
Na kama hujui ni kwa nini Wstanganyika ni maskini basi hizi ndio sababu halisi, mtu ambaye analeflect maisha yao hawana habari ila issue za makahaba zinashikiwa bango.
Hivi kitoto kama hichi uanzee kukivalisha kama P Diddy si unakikaribishia mapepo bure tu bila wewe mwenyewe kujuwa?