TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Natoa pole kwa wafiwa wote.

Lakini kila kitu ni upuuzi mtupu.
Sijaona cha maana au cha msingi cha kufanya kifo cha huyo mtoto kuwa story za kuvuma mitandaoni. Ni ulimbukeni mtupu.

Huyo mtoto ni nani?
Wazazi wake ni wakina nani?
Kuna kitu gani so special kumhusu huyo mtoto au wazazi wake?
Watanganyika ni wa kuwasamehe bure tu saa nyingine.

Na kama hujui ni kwa nini Wstanganyika ni maskini basi hizi ndio sababu halisi, mtu ambaye analeflect maisha yao hawana habari ila issue za makahaba zinashikiwa bango.

Hivi kitoto kama hichi uanzee kukivalisha kama P Diddy si unakikaribishia mapepo bure tu bila wewe mwenyewe kujuwa?

FB_IMG_1530698235498.jpg
 
Hivi mtu unapata uthubutu upi wa kumnyooshea kidole binadamu mwenzako tena kipindi cha msiba[emoji15]


Hii tabia ya watanzania kuingilia maisha ya watu inazidi kuota mizizi. Njia pekee ya watu kuacha hii tabia ni maisha yazidi kukazwa nati. Kupata mlo iwe shida mbona akili zitatukaa sawa.
 
Hata kama tunawapenda watoto wetu, si sawa kuwarusha na kuwatanzana namna hiyo katika uwanja "wa wakubwa kama huko Instagram"

Mtoto alilazimishwa kuvaa, kuimba, kuongea, na kuonekana kama mtu mzima!

Je alipata nafasi ipi ya yeye kucheza na watoto wenzake?

Je alipata wapi nafasi ya kuwaza kama watoto wenzake na kuiishi dunia ya utoto wake?

Angekuwa mtu mzima, angesimulia yapi mazuri ya utito wake kama kucheza kombolela na kupigana na wenzake katika michezo?

Mtoto anavalishwa kama mdoli, gangastar, mtanashati, bitozi, micheni, miwani na takataka zoote kama mtu mzima!...je MACHO ya watu wabaya yalikua namna gani kwa malaika huyu "aliyelazimishwa" kuishi kama mtu mzima?

MUNA alikosea sana.
Alianza kumuharibu wakati mdogo sana.
 
Hahahhh....pole sana
Namjua Peter Zakaria (baba wa Patrick) miaka mingi tangu anafanya kazi TBL.
Nimekunywa nae sana bia Leaders na TCC Chang'ombe.
Pole sana
Sasa mkuu si uweke vizuri hii habari manake Casto anapata taabu sana!
 
Samahani wakuu naweza pata taarifa fupi juu ya huyo dogo, alikuwa kama nani?? maana kila mtu yuko analalamika kuhusu kifo cha huyo dogo..
 
Daaah, Inaumiza Sana watoto wadogo kufariki mapema hivi, Mungu Baba naomba umpokee malaika wako huyu, Amen [emoji120]
 
Umesahau fundisho moja muhimu sana. Moja ya madhara ya kuzaa nje ya ndoa ndio haya. Laiti km huyu mtoto angekua amezaliwa kwenye ndoa kusingekua na huu ujinga wa kumtaftia baba.
Hakuna mtoto wa nje ya ndoa katika dunia hii...hii ni lugha ya unyanyapaa....
 
Watanganyika ni wa kuwasamehe bure tu saa nyingine.

Na kama hujui ni kwa nini Wstanganyika ni maskini basi hizi ndio sababu halisi, mtu ambaye analeflect maisha yao hawana habari ila issue za makahaba zinashikiwa bango.

Hivi kitoto kama hichi uanzee kukivalisha kama P Diddy si unakikaribishia mapepo bure tu bila wewe mwenyewe kujuwa?

View attachment 802352
Alafu nako kuna watanganyika wameshupalia pua ..pumbavu sana

Sijui tuko ktk nchi ya watu ambao akili zimebakia ktl sehem za siri tu?? .
 
Hivi mtu unapata uthubutu upi wa kumnyooshea kidole binadamu mwenzako tena kipindi cha msiba[emoji15]


Hii tabia ya watanzania kuingilia maisha ya watu inazidi kuota mizizi. Njia pekee ya watu kuacha hii tabia ni maisha yazidi kukazwa nati. Kupata mlo iwe shida mbona akili zitatukaa sawa.
Ndo maana jana ,kuna uzi nmewasema sana. ... Yaaan kuna watu wapuuuzi balaa. Wanajifanya wanajua kila kitu yan
 
FAHAMU : Kwa mujibu wa dada wa Muna aitwaye Eve, msiba huo upo Mwananyamala kwa baba wa mtoto huyo. Wakati watu wakisubiri kuupokea mwili wa mtoto wa Muna Love aliyefariki Julai 3, 2018 jijini Nairobi alikokuwa akitibiwa, dada wa msanii huyo amesema msiba uko kwa baba wa mtoto anayeishi Mwananyamala kwa Mwakibile jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo, Patrick alikuwa na uvimbe kichwani na wazazi wake kumpeleka Nairobi kwa matibabu zaidi. Akizungumza na Mwananchi , Eve, ambaye ni dada wa Muna, amesema wameamua kuweka msiba Mwananyamala kwa sababu ndiko nyumbani kwa baba yake. “Msiba hauko huko Mbezi jamani. Patrick ana baba yake na yuko hai anaitwa Peter. Hivyo tuko hapa Mwananyamala kwa Mwakibile tunapanga jinsi ya kuurudisha mwili Tanzania kwa ajili ya maziko,ambayo tutawatajia siku,” alisema Eve. Eve aliomba watu waachane na habari zinazosambazwa mitandaoni kuwa mtoto huyo ni wa mtangazaji maarufu wa televisheni, Caston, akisema ni za upotoshaji. Amesema iwapo watu wanataka ukweli wa suala hilo, waende msibani kwa ajili ya kupata habari kamili.
 
Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kwa ndugu Peter Zacharia Komu ambapo ndipo msiba huo ulipo. Ndugu Peter amefunguka mengi na kusema Muna ni mkewe wa ndoa na walimzaa Patrick wakiwa ndani ya ndoa. Amesema amekuwa akimhudumia mtoto huyo kuanzia matibabu yote, matunzo na ada ya shule na kueleza kuwa Casto si baba wa mtoto huyo kama watu wanavyopotoshwa. Dada wa Muna naye amefunguka na kubainisha kuwa familia inafahamu mtoto huyo ni wa Peter na siyo Casto.
 
Samahani wakuu naweza pata taarifa fupi juu ya huyo dogo, alikuwa kama nani?? maana kila mtu yuko analalamika kuhusu kifo cha huyo dogo..
Amewahi kua Balozi wa tanzania nchini lebanon
 
Tunaomboleza wote jamani mtoto ni wetu sote. RIP Angel
Kuomboleza muomboleze, ila sio kujifanya mmeumia saaaana kisa nimtoto wa star, yaan DP za wasap za wadada toka juzi nipicha ya mtoto, uko IG. FB ,ndo usiseme...wakat huo huo kuna jiran au ndugu alifiwa na mtoto au jamaa ake lkn ukaishia kumpigia simu kumpa pole au hata ukajifanya uko bize .. Watu wapuuzi sana.

Mtoto kafa, kafa, mwacheni apumzike ,sio wakati wakumchoresha ovyooo ovyoooo ,,, mbona alipokua mzima mlikua hamumpost namna hiii??? Hii ni akili au matope yakufugia minyooo??.

Watu wapuuzi sana, kumbe siku mnakua napicha za watu miaka nenda miaak rudi bila kuwajulia hali, wakishakufa ndo muanze kuwapost???? Nakujifanya mnawajua sana?? ....
 
Back
Top Bottom