TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kwa ndugu Peter Zacharia Komu ambapo ndipo msiba huo ulipo. Ndugu Peter amefunguka mengi na kusema Muna ni mkewe wa ndoa na walimzaa Patrick wakiwa ndani ya ndoa. Amesema amekuwa akimhudumia mtoto huyo kuanzia matibabu yote, matunzo na ada ya shule na kueleza kuwa Casto si baba wa mtoto huyo kama watu wanavyopotoshwa. Dada wa Muna naye amefunguka na kubainisha kuwa familia inafahamu mtoto huyo ni wa Peter na siyo Casto.
Eeh aisee
 
Tena usijaribu kuomba msaada utasimangwa mpaka ujute. Walichokosea na kuanza changisha pesa za kusaidia matibabu ndo balaa likazuka hapo,hata wasiochangia nao wanajidai wana maumivu ya pesa zilizotolewa
Wabongo tunaongoza kwa unafki. Period
 
Huyu kumbeba mtoto kumsafirisha kwa gari kwenda Nairobi na mumewe akitoa pesa anunue tiketi ya ndege kama alivyoomba.. ameonyesha unyama kisa asafiri na bwana wake ambaye alikuwa na show last weekend Nairobi.. kumpeleka mtoto akawe tu na bwanake huku anauguza na kumlilia mumewe pesa.. inasikitisha

Joel ameondoa tangazo la hizo show za Nairobi.. hadi jana zilikuwepo na ana video mbili kuonyesha na intavuu.. nae anamlilia mtoto wa mwenzie huku baba yake yupo hai.. na pesa hatoi anatoa baba mtoto.. itabidi aeleze y alimruhusu huyo muna akiwa na pesa waende na gari.. sad kuwa ni ben ten.. nyimbo yake moja na delete kwa simu yangu.. bora nilipenda mmoja tu maana sitaumisi

Mimi ndio maana wanaodai wameokoka huwa nawaangalia tu maana wengi wanaonyeshea kuwa wana maisha na Yesu Kristo wa Nazareth huwa ni mafekelo.. na wanaumbuka 40 zao zikifika.

Mume wake Peter, Mola amjalie apate mke mwema..
 
Ndio naposhangaa pamoja na maumivu ya kufiwa angekaa kimya akaomboleza anavyojua kutype na para yote hiyo, hakika sisi ni wa Mwenyez Mungu na kwake tutarejea
Hapana unajua watu walikua na mkanganyiko wa msiba na yeye ndo kila kitu ukute walio nae karibu walimuambie aseme na ukute hajaandika yeye ameandikiwa pia watu walikua waende wapi mwananyamala au mbezi!

Ndo maana ametoa hyo statement IG maana kwa watu maarufu pale ndo kila kitu kwa taarifa
 
Huyu kumbeba mtoto kumsafirisha kwa gari kwenda Nairobi na mumewe akitoa pesa anunue tiketi ya ndege kama alivyoomba.. ameonyesha unyama kisa asafiri na bwana wake ambaye alikuwa na show last weekend Nairobi.. kumpeleka mtoto akawe tu na bwanake huku anauguza na kumlilia mumewe pesa.. inasikitisha

Joel ameondoa tangazo la hizo show za Nairobi.. hadi jana zilikuwepo na ana video mbili kuonyesha na intavuu.. nae anamlilia mtoto wa mwenzie huku baba yake yupo hai.. na pesa hatoi anatoa baba mtoto.. itabidi aeleze y alimruhusu huyo muna akiwa na pesa waende na gari.. sad kuwa ni ben ten.. nyimbo yake moja na delete kwa simu yangu.. bora nilipenda mmoja tu maana sitaumisi

Mimi ndio maana wanaodai wameokoka huwa nawaangalia tu maana wengi wanaonyeshea kuwa wana maisha na Yesu Kristo wa Nazareth huwa ni mafekelo.. na wanaumbuka 40 zao zikifika.

Mume wake Peter, Mola amjalie apate mke mwema..
So sad wallah.
 
Hapana unajua watu walikua na mkanganyiko wa msiba na yeye ndo kila kitu ukute walio nae karibu walimuambie aseme na ukute hajaandika yeye ameandikiwa pia watu walikua waende wapi mwananyamala au mbezi!

Ndo maana ametoa hyo statement IG maana kwa watu maarufu pale ndo kila kitu kwa taarifa
Baba kasema Mwananyamala, mama mbezi kumbuka Hawa Wote ni wazazi wa mtoto msiba utahamia mahakaman Labda mmoja ajishushe.
 
Back
Top Bottom