TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Mbona watoto wa. Huyo mama wanakufa vifo vya ajabu ? Hamna uchawi kwa huyo mama au familia ya huyo mama?
Usiwe na mawazo ya hvyo ndugu,kila nafsi itaonja mauti siku yake ikifika. Huyo amefariki baada ya kuugua mda mrefu of which hua inatokea kwa watu wengne pia so sio kifo cha ajabu.
 
Pole sana
 
Wachawi wanaua.Mtu mchawi aweza UA watoto wake wote hata Wawe Mia.
Kwani yy ndo wa kwanza kufiwa na watoto?? Bas wote waliofiwa na watoto wao ni wachawi!!

Em imagine umefiwa na mwanao una uchungu then unaskia mtu anakwambia maneno kama hayo utajiskiaje. Usimkaribishe shetani hzo kauli sio nzuri hasa kwa wakati huu
 
Pole sanda ndugu
Thanks.
Kwakwel kwasasa nam mic normal tu kila anaponijia kwenye fikra zangu tofaut na zamani.
Hii kitu ilinifanya nibadil kabisaa namna navyowachukulia hata wanangu kwasasa.Nawapenda lakin kuna namna nimeu tune upendo wangu kwao siku nisije nikafa kwa pressure.Mana nikawaza kama sister tu uchungu wake ni ule,je hawa wanangu damu yangu ambao nahamgika kwa ajil yao.Nawekekeza gharama nying nuu yao itakuaje??
Nikachukua tahadhari mapema na huwa naomba Mungu anisaidie kwakwel kwenye hilo maana najua lipo tu halikwepeki thgh Mu gu pakee ndie ajuae WHEN!!!
 
Kwa hiyo Mungu kaamua kumjaribu mama wa watu maskini

Daah [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Hafu huyo huyo Mungu ampe ustahimilivu

Daah ngumu sana kumeza lakini acha tumeze tu hivyo hivyo [emoji23][emoji28][emoji106][emoji120][emoji16][emoji16][emoji41][emoji108]
 


Tena makanisa ya kilokolkilokole huwa hawatak ulie wanakuambia mshukuru Mungu..arghhh
 
Rsst in pea e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…