TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Pole sana
 
[emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308] apumzike kwa amani
 
Msiba usikie kwa mwenzio jamani..zamani nikiona mtu analia eti anamlilia mtu aliyetangulia mbele za haki nilikuwa namshangaa Sana.

Nilipofiwa na Baba ndiyo nimeyajua na maumivu ya kufiwa kwa wengine..miaka miwili ni kulia tu..nimeacha kulia juzi tu hapo.. Inauma Sana.
 
Pole Sana.
 
Pole sana.Na pamoja tusema
R.I.P bwana Seth
 
Pole sana brother

Mimi kuna dogo nilimlea na akafariki hata kabla ya mwaka. Hadi leo kuna mafuta ya nazi sipendi hata kuyaona maana ndio ilikuwa last gift kumnunulia.

Sasa sipatii picha huyo mother ana hali gani kiukweli. Mungu amtie nguvu
 
RIP Seth, duuuh inauma Sana kuondokewa na mtu ambaye unategemea awe msaada kwako, unaweza hata kukufuru. Poleni Sana wafiwa na wahusika wote.
 
Apumzike kwa amani, mana kiatu chake hakiwezi mtosha mtu...daah!! Inasikitisha .
 
Uyo mume ndio anawaua hao watoto?
Acha ushirikina
Were ni mpuuzi, nani kasema mambo ya kuwaua? Unadhani kama kaondokewa na watoto wote faraja ataipata wapi kama sio kurudi kwa mumewe wakaishi na kufarijiana?
Uwe unafikiri kabla ya kujibu bladibasketiboli!
 
Unaposema amwangukie mumewe unamaanisha nn?unamwangukia mwanadamu mwenzako?kwamba mume amekasirika!?khaa!
Warudiane. Waliishi kwa kuhitilafiana na alimtukana sana mumewe hadharani. Sasa ni kuangukiana ili kusameheana na kuishi uzeeni pamoja kwa raha zao! Umenipata hapo?
 
Pole sana brother

Mimi kuna dogo nilimlea na akafariki hata kabla ya mwaka. Hadi leo kuna mafuta ya nazi sipendi hata kuyaona maana ndio ilikuwa last gift kumnunulia.

Sasa sipatii picha huyo mother ana hali gani kiukweli. Mungu amtie nguvu
Doohh!!!brother pole sana.
Kumbe people are passing through alot of hell.
 
Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu

Akinikaribisha kule, karibu upumzike

Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali pako

Hapa ndipo makao yako, karibu upumzike ...

Ukapumzike Seth Bye brother😭

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…