swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Pole sana
Mimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.