TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Eee Mungu uliyeziumba mbingu na nchi, dhihirika sasa kwa ufariji usiomithirika kwa familia hii.
 
R.I.P Mungu Zumaridi aliahidi kumrudisha Kanumba, tumuombe amrudishe na mdogo wake.
 
RIP all fallen soldiers thou we're apart but we're still a team
 
Daa watoto wanatangulia wanamuacha mama
 
RIP seth, dunia si rafiki yetu tujitaid kutenda mema...
Dah!! Sijui huyu mama ana hali gani kwa sasa???
 
Back
Top Bottom