TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani amina.
 
Daaah mdau mwenzetu wa selfika

May his soul rest in eternal peace

Inna lillahi wainna ilay'hi rajiun
 
POLENI WOTE MNAOHUSIKA NA MSIBA HUU. MWENYEZI MUNGU AMPOKEE MJA WAKE KWA HURUMA
 
Mwenyezi Mungu Aiweke roho ya Marehemu pahali panapomstahili kama alikuwa Muumini.
 
Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote wa jf. Msiba hauzoeleki hata siku moja.
 
Usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia.

Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko alik, Amina.

Habari hii ni kwa mujibu wa Gallius ambaye alikuwa mtu wake wa karibu

Kama kuna update yoyote tutajulishana hapahapa
Om Shanta shanta shanta
 
Back
Top Bottom