Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Moyo unakataa kuamini rafiki, ndugu na shabiki mwenzangu wa Yanga brother Ally amefariki dunia!
 
Uwe na hekima jombii....kifo ni kifo...leo kwake kesho kwako!!
Ushaambiwa alikuwa famous fans wa club ya Yanga(Vyura fc). Watu wa mpira kwao hii in habari.

Wewe uliyezoea vigodoro tip ur middle f on ur as.s h then ukalale
Dah kuna watu mnakosa ubinadamu kabisa buku 7 inawatia kiburi
Mkuu Troll JF tafadhari, uwe na hekima, sio kila jambo linahitaji ghadhabu na hasira.
It iz not fare mkuu!!
R.I.P Ally Yanga
Mbona Thread iko Jukwaa la Michezo Taangu SAA 9 Alasiri na Nimetoa salamu zangu za Rambi rambi kwa Familia yake na Mashabiki wa Yanga. Nimeshangazwa na Mleta Thread alivyochelewa
 
Ndio maana mimi nataka mwenge usikimbizwe kila siku tunapata hasara tuu ona huyu kijana kajifia bure
 
Ali amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.
Kitaje hicho chama jina .....ikiwezekana

Ova
 
Mbona Thread iko Jukwaa la Michezo Taangu SAA 9 Alasiri na Nimetoa salamu zangu za Rambi rambi kwa Familia yake na Mashabiki wa Yanga. Nimeshangazwa na Mleta Thread alivyochelewa
Ndo ukaandika kile ulichikiandika! We ni wa kuhurumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…