McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Duh RIP... wa zamani sana huyu kwenye RTD...Habari zilizotufikia hv punde kwamba mkuu wetu wa wilaya hatunae tena..pia Sara dumba alikuwa ni mwana habari RTD miaka ya nyuma..
Hapana, nafikiri wewe ni mzaliwa miaka hii ya karibuni, Marehemu Sara Dumba ndiyo nafikiri mtu wa mwanzo kabisa wa kipindi cha mama na mwana! Kwa ufahmu wangu nakumbuka miaka ya themanini na kitu hdithi za kutisha wakati wa jioni tumsikiliza kupitia radio za wakati huo, National MemoryQ,Usichanganye na Debora Mwenda
RIP Bi Sarah DumbaView attachment 331610
Upumzike kwa Amani Sarah Dumba
Unafikiri....mi nina uhakikaHapana, nafikiri wewe ni mzaliwa miaka hii ya karibuni, Marehemu Sara Dumba ndiyo nafikiri mtu wa mwanzo kabisa wa kipindi cha mama na mwana! Kwa ufahmu wangu nakumbuka miaka ya themanini na kitu hdithi za kutisha wakati wa jioni tumsikiliza kupitia radio za wakati huo, National MemoryQ,
Rest in Peace Bi Sara Dumba
Nikumbushe hadithi moja nione kama ulikuwepo....usije na ua jekundu au akajasembamba maana hizo ni za majuzi tuHapana, nafikiri wewe ni mzaliwa miaka hii ya karibuni, Marehemu Sara Dumba ndiyo nafikiri mtu wa mwanzo kabisa wa kipindi cha mama na mwana! Kwa ufahmu wangu nakumbuka miaka ya themanini na kitu hdithi za kutisha wakati wa jioni tumsikiliza kupitia radio za wakati huo, National MemoryQ,
Rest in Peace Bi Sara Dumba
ficha Ujinga wako mkuu sio kila kitu ni Siasar.i.p,alikuwa na hofu ya kutumbuliwa nini?maana kuna yule d.e.d wa halmashauri ya wilaya ya maswa nae aliaga dunia karibu kwa mtindo huu huu!
Kulikuwa na moja ya binti mfalme, hiyo y ua jekundu ni mojawapo pia, kulikuwa pia na hadith moja ya joka jeusi.Nikumbushe hadithi moja nione kama ulikuwepo....usije na ua jekundu au akajasembamba maana hizo ni za majuzi tu
Acha uf.....nafasi ya kazi
Kweli mkuu coz mara mwisho kumuona ilikuwa Njombe kama aka3 iv, kiukweli alikuwa bonge sana na kama ulisema uzee ulikuwa mwing sanaJamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
JK aliwakumbuka sana waandishi wa habari! lakini wanayomlipa mmh!
sasa siasa nimeziingiza wapi mkuu?ficha Ujinga wako mkuu sio kila kitu ni Siasa
unaweza kupandisha picha yake jukwaani tumfahamu vizuri?Kweli mkuu coz mara mwisho kumuona ilikuwa Njombe kama aka3 iv, kiukweli alikuwa bonge sana na kama ulisema uzee ulikuwa mwing sana