HAHHAHHAHA.mkuu nakumbuk mwaka92 naanza la.kwanza huyu.mama ni mtangazaji mtu mzima sio kabinti sasa leo karibu miaka30 bado kweeeli yupo kazini
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
Huyo alikuwa mama Deborah Mwenda.Poleni wafiwa. Namkumbuka kipindi cha mama na mwana RTD.
Huyo alikuwa mama Mwenda.R I P Mama na mwana!
Upo njombe sehemu gani?Rip. Kweli jf nimeivulia kofia, niko njombe, lakini taarifa naipata jf within a minute.
Mama alikuwa mpole sana, msikivu,asiye na makuu, na mkweli kupita kiasi,asiye mwoga, yaaani anakupa makavu live no kupindisha maneno,very social,mtu wa kujichanganya
Huyo alikuwa mama Mwenda.
Hivi Sunday yuko wapi siku hizi?Pumzika kwa amani Bi Mkubwa,duh alinichukua alipoteuliwa kuiongoza wilaya ya Kilindi nilijifumza mengi toka kwake upole na ucheshi duh tumbo la ardhi limemeza wengi.
InshaAlla Mungu akupe kauli thabiti uko uendako pole sana mwanangu Sunday na Henry.
Wewe ukiwa na miaka minane basi mtu mwenye miaka 30 unamuona mtu mzima sana kumbe bado kijana. So miaka 30 later anaweza akawa na miaka 60. Anyway hata kama alizidi 60 kumbuka ukuu was wilaya ni nafasi ya uteuzi ya kisiasa sio ajira ya kuomba ambayo unatakiwa kustaafu ufikapo 60. So usishangae nafasi ya uteuzi ya kisiasa mtu akawa mzee pengine rais alihitaji uzoefu na hekima zake ndo mana AKAMTEUAHAHHAHHAHA.mkuu nakumbuk mwaka92 naanza la.kwanza huyu.mama ni mtangazaji mtu mzima sio kabinti sasa leo karibu miaka30 bado kweeeli yupo kazini
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
Roho Iliyo Pote!OK sawa, mwache atangulie