TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Kufa sio ajabu lakini nina wasiwasi na maisha ya hawa vijana wetu. Leo utasikia anatoka na fulani kimapenzi ambaye huyo fulani alikua na fulani kimapenzi. Kesho utasikia tena baada ya kuachana na fulani sasa hivi anatoka na fulani ambaye alikua wa fulani, ambaye huyo fulani alimtuhuku mpenzi wake kutoka na fulani. Pole sana.
Inabidi Wajumuishwe kwenye ule mpango wa kinga ya Ukimwi coz wapo kwenye kundi hatarishi.
 
Ushamuona zari ananyonyesha au hamisa,,,hehe
Sasa mkuu mambo ya kunyonyesha ni personal life kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa hawanyonyeshi wewe unakaa nao masaa 24???

Au unataka watoke hadharani na kuanza kunyonyesha bado sijaelewa ideology yako hasa unataka kusema nini ......

Nitakuamini tu iwapo unakaa nao masaa 24 na umeshuhudia hawanyonyeshi.....
 
Haya
 
Nasubiri kuona ccm wakijihusisha kwenye msiba kama kawaida yao kutafuta kiki misibani
 
Ukimnywa mate demu mwenye ngoma unalooo....ikigusisha nanilihiu kwenye papuchi yenye ngoma unaloooo...
Vvu vina uwezo wa kuishi kwenye mate?

Kwa hiyo tusema mtu ambaye hana vvu akiingiza mara moja tu kwenye uchi wa mwanamke mwenye vvu tayari kaunasa?

Embu kuwa serious bhasi....
 
Back
Top Bottom