TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Lakin Arv mbaya sana zinafelisha figo
Huwezi kutwa na hiv hapo hapo uanzishiwe dawa za arv
Mama Sabrina kwa sasa ukigundulika una VVU hapo hapo inabidi uanzishiwe dozi ya ARV haisubirii sijui mpaka DC4 zipungue, hii inasaidia wagonjwa waanze kupambana na ugonjwa mapema na kuzidi kurefusha maisha yao. Hizo side effects za kutumia kama hiyo uliyoitaja hazikosekani ila ukiona inasumbua unapimwa upya na unabadilishiwa dawa.
 
Trmbeeni muone nyie wanaume wa dar, mimi hili swala la ukimwi wa kurogwa nimelisikia kijijini kwetu nikiwa kama na miaka 10 hivi. Kuna mtu alizumiana hela na jamaa akapigwa huo ugonjwa. Yani ukimuona unajua ana ngoma. Ila akienda hospital jamaa ni mzima kabisaaaaa. Aliteswa kama miaka 4 hivi hafi.

Nenda kijiji kimoja kinaitwa kapalamsenga kipo mkoa wa rukwa. Unajua sisi binadamu tunapokuwa wazima na hatujapatwa na kitu huwa hatuamini kama hicho kitu kipo. Amini nawaambia acheni kubeza marehem ndio anajua ukweli. Ila hayo mambo yapo kabisa.
 
Mama Sabrina kwa sasa ukigundulika una VVU hapo hapo inabidi uanzishiwe dozi ya ARV haisubirii sijui mpaka DC4 zipungue, hii inasaidia wagonjwa waanze kupambana na ugonjwa mapema na kuzidi kurefusha maisha yao. Hizo side effects za kutumia kama hiyo uliyoitaja hazikosekani ila ukiona inasumbua unapimwa upya na unabadilishiwa dawa.
Oooohhh sawaa lakin ukimwa wa mwanzo si unakuwa sio mkali inabdi wakupe nini zile septlin sijui
 
Back
Top Bottom