TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Soon wasanii watatumia fursa ya ku-fake/Kiki vifo ili waongeze views Youtube
 
Dah Staki kuamini Salum kweli ..dah hakika ...pumzika kwa Amani
 
Ukimwi unaua... ni wazi marehemu alichelewa kuanza kutumia ARVs kwa kuamini kuwa sio ukimwi bali amerogwa....pengine alikuwa na zunguka kwa waganga tuu badala ya hospitali... ni wazi alifungiwa ndani tuuu...
Lazima sote tujue UKIMWI upo na unaendelea kuuwa....
Ni kweli halaf huo wa kurogwa upo vijijin sehemu wanazoamin sana uchawi,lakin hakuna kitu kama hicho kuamini mambo ya kishirikina ni hatari sana
 
Wasanii wana ngoma na vile wanajua kuzungukana sio mchezo *****.
Just imagine aslay katembea na wema na amber lulu na gigy money! Jamani jamani nimeogopa
Sasa hivi kuna kitu kinaitwa test and treatment... yani unapimwa na ukikutwa nao unaanzishiwa ARVs kwa hiyo ni vyema wakaenda kupima na kuanza dawa mapema kuliko kuja kusema wamerogwa
 
Unajua maana breaking news? Unajua maana ya news updates? Ukikuta mtu amefariki njiani hautakiwi kutoa taarifa hadi ujue chanzo chake? Kichwani mwako kuna ubongo au maganda ya karanga?
Asante
 
Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo

Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....

Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......

DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
Naaam nikweli "" umeongea maneno sahihi sana ...lakini waswahili wanasema asie jua maana usimpe maana "" huyu aliye sema sam kafa na ukimwi wa kurogwa hakupaswa kusema hiyo kauli " hata kama INA ukweli "" haiwezi kueleweka ktika hiki kizazi ambacho hakiamini hayo masuala ....angekaa Kimya tu ""..
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi

Namuombea maisha marefu ili azidi kujifunza na kuyaona mengi ya dunia......

NB
Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo kama halijakukuta jambo!!!!....
 
Back
Top Bottom