TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Ingekuwa ni kamanda wa ufipa tungepata maneno haya" Ndugu zangu nawaacha lkn mapambano haya muyaendeleze mpaka haki ipatikane" basi mwingine unasikiliza yanapita R.i.p sam.
 
Msanii mkongwe wa mziki nchini Sam Wa Ukwe aliyetamba na nyimbo kadhaa Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. baada ya Kuugua kwa Muda mrefu.

Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe.

Tangulia.Sam wa ukweli

nyimbo ipi ilikubamba zaidi.??
1f62d.png
1f62d.png
1f62d.png
1f62d.png


34557290_235378393712679_1856662152438349824_n.jpg

photo.php
 
Aiseee dhuuuuu Rest in peace
Sam wa ukweli

Kweli hakuna aijuaye kesho yake
 
mara ya mwisho ilikuwa kama miezi miwili alikuwa club kakara kigamboni anaperform na wasanii wenzake kutoka iringa(kama sikosei) and i happened kuwa kwenye club hiyo
alionekana mwenye nguvu ila kilo zake zilikuwa chini kwa kumuangalia
alipiga hits zake zote usiku ule
jamaa alikuwa ni mcheshimcheshi flani hivi
he has made his transition..see you on the other side
 
Hv huo ukimwi wa kulogwa/kurogwa unaambukizwa kwa njia gani?? Na dalili zake ni zipi?? Vipi nao hauna tiba kama huu wa kwetu???
 
Back
Top Bottom