TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

uwiiiiii jamani nimeche
Unajua maana breaking news? Unajua maana ya news updates? Ukikuta mtu amefariki njiani hautakiwi kutoa taarifa hadi ujue chanzo chake? Kichwani mwako kuna ubongo au maganda ya karanga?
ka haaaaa kweli watu humu wamempatia kwa amajibu
 
Alikua star kipindi hicho ila ujio wa simbaa ukampoteza yy na yule mchizi wa tanga top c.... ila sam hata kipind hicho yupo kwenye headline alikua poa tu ila ndio hivyo tusiseme mengi ati kisa ni marehem R.I.P
Kumbukumbu zinanionesha kipindi cha ujio wa Sam Wa Ukweli tayari Diamond alikuwa na ngoma 2 'Nenda kamwambie' na 'Mbagala'. Alipotoa SINA RAHA ulipendwa sana kiasi kwamba ikaonekana huyu kijana ni tishio kwa Diamond, lakini kumbe alipotoa na ile 'Hata Kwetu Wapo' ndo material yakawa yamekwisha hakuweza kuwika tena hadi Leo hii hatupo naye. Ni the same as Top C, hawa walitoka pamoja na wakapotea pamoja 'One hit wonders'
 
Pole sana familia ya Sam wa Ukweli. Nilikukubali sana vibao vyako vyote vikali!
 
Jamani kwanini watu hawajikubali? Kuna Ukimwi wa kurogwa? Daah Pumzika kwa amani Sam.

Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo

Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....

Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......

DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
 
Kumbukumbu zinanionesha kipindi cha ujio wa Sam Wa Ukweli tayari Diamond alikuwa na ngoma 2 'Nenda kamwambie' na 'Mbagala'. Alipotoa SINA RAHA ulipendwa sana kiasi kwamba ikaonekana huyu kijana ni tishio kwa Diamond, lakini kumbe alipotoa na ile 'Sina Raha' ndo material yakawa yamekwisha hakuweza kuwika tena hadi Leo hii hatupo naye. Ni the same as Top C, hawa walitoka pamoja na wakapotea pamoja 'One hit wonders'
Hakika
 
Msongo wa mawazo
Ngoma
Madawa
Vitatumalizia wasanii wetu.
Apumzike mahala anapo stahili.
 
misongo ya mawazo hiii, wewe utakua unatoka mpakani na akili yako haijijui ipo nch gan na bichwa lako limejaa pepeta na mabunda
haaaaa haaaa jamani utaniua mbavu zangu haaa yani huyu kakooooma tena kakoma sana sijui wa wap huyu
 
Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo

Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....

Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......

DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
Mke wake wa kwanza tumesoma nae yule dada so ugonjwa wa huyu kaka naujua kidogo.

Sio busara nikiuongelea.
 
Yaaan kisa umeona insta sudy kapost huna hata habari kamili about kifo chake includin chanzo ushakimbiliaa kupost khaaaa watu bwana yaan wanaume wa siku hizi mmekosa uvumilivu chaaa......haya tuambieee chanzo!!!



Rest in Peace sam wa ukweli
sasa ukalale sio kwa makavu haya utakayoyapata humu, halooooooo
 
Back
Top Bottom