kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Mtaona wasanii watakavyotumia fursa ktk msiba wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Vijana wanaondoka mapema sana. Poleni sana
Noma sana! Life expectancy ya Mtanzania inazidi kushuka chini mkuuHatari sana
Inna Lillahi wainna Illaihi RajiunaMsanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani ,amefariki usiku huu hospitali ya palestina iliyopo Sinza ,taarifa zaidi zitawajia ,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 796272
Sam, alikwishawahi kutamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.
Chanzo tafuta na wewe acha ubwenyenyeYaaan kisa umeona insta sudy kapost huna hata habari kamili about kifo chake includin chanzo ushakimbiliaa kupost khaaaa watu bwana yaan wanaume wa siku hizi mmekosa uvumilivu chaaa......haya tuambieee chanzo!!!
Rest in Peace sam wa ukweli
Waha hawakubishia kifo kweli?RIP Brother Sam..
Still bado ninahudhuni ya ndugu zangu Waha 10 walifariki kwa ajari ya treni.
We are all behind You..
Bonere wa wapi?Rest in Easy Mjukuu wa Bonere