TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Kufa sio ajabu lakini nina wasiwasi na maisha ya hawa vijana wetu. Leo utasikia anatoka na fulani kimapenzi ambaye huyo fulani alikua na fulani kimapenzi. Kesho utasikia tena baada ya kuachana na fulani sasa hivi anatoka na fulani ambaye alikua wa fulani, ambaye huyo fulani alimtuhuku mpenzi wake kutoka na fulani. Pole sana.
 
Kweli kifo hakina huruma,

Hivi huyu jamaa si alihamia Kenyan, Nairobi, na huko alikuwa akiendelea na kazi yake ya music nk
 
Msanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani ,amefariki usiku huu hospitali ya palestina iliyopo Sinza ,taarifa zaidi zitawajia ,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 796272
Sam, alikwishawahi kutamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.
Inna Lillahi wainna Illaihi Rajiuna
 
Back
Top Bottom