TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Achana naye huyo anajifanya mjuaji sana,mpotezee tu.
Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..
 
Mwanamuziki Salum Mohamed aka Sam wa Ukweli, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Mwili wa Sam umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.

Sam, alitamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.

More to follow..

IMG-20180607-WA0000.jpg
 
Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..
Hahahaa [emoji1]
 
Yaaan kisa umeona insta sudy kapost huna hata habari kamili about kifo chake includin chanzo ushakimbiliaa kupost khaaaa watu bwana yaan wanaume wa siku hizi mmekosa uvumilivu chaaa......haya tuambieee chanzo!!!

Rest in Peace sam wa ukweli
Unajua maana breaking news? Unajua maana ya news updates? Ukikuta mtu amefariki njiani hautakiwi kutoa taarifa hadi ujue chanzo chake? Kichwani mwako kuna ubongo au maganda ya karanga?
 
Nini chanzo cha kifo chake?
[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG] Producer Steve aliekua akifanya kazi na Msanii wa BongoFLEVA Marehemu SAM WA UKWELI alietamba na “hata kwetu wapo” ameongea yafuatayo >>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa kulogwa’. () R.I.P SAM [emoji1545] [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom