Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..Achana naye huyo anajifanya mjuaji sana,mpotezee tu.