TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Celebrity anabebwa kwenye bajaj kwenda hospitali?
 
Dar Rest In Peace, ni kweli amefariki, "hata kwetu wapo"
 
Acha kujifanya mjuaji, unaonekana unapoishi haukai vizuri na watu , hawakupendi.
Kwani wapi iliandikwa kuwa ni LAZIMA marehemu apewe sifa za uongo zisizo zake?? Tuna unafiki wa kumuona adui kila anayejaribu kumuelezea marehemu kwa usahihi, ni kweli hufahamu maana ya SUPER STAR mkuu?
 
"UKIMWI wa kulogwa" ndio upi huo??
Alafu kuna kizazi cha hapo nyuma 2005 - 2015 ktk sanaa, madogo walijiachia sana, sasa hivi wanaanza kuwahi viwanja kwenye cemetary! No offense!
Nawapa hongera sana kizazi cha kina Mwana FA, uwanja huku ulikuwa mchafu sana na elimu ya kufahamu haya magonjwa ilikuwa ndogo. Waliopona, hongera kwao.
 
Hawa Vijana wapuuzi kweli hivi walikuwa wanasubiri Sam awaambie kuwa wampeleke hospitali?

Wanakaa na mgonjwa kama vile Ng'ombe kuwa akifa watakula nyama

Kweli ukianza kuishi Dar akili zinatoka.

R. I. P Sam "Kisiki"
Wanaume Wa Dar, Kiukweli hawa ni kutupa rupango, haiwezekani mpaka mnavalisha pampaz mnae tu ndani mnaona Kawaida..
 
Pumzika kwa amani Sam wa ukweli, nilipenda kibao chako "Sina raha"
Mimi pia nilipenda sana nyimbo zake bila ya hata kumjua,ila leo ndio nimeangalia video zake baada ya hii habari,nimesikitika sana.Duniani tunapita hatujui siku wala saa tutakapofumba macho na kuiacha,yatupasa tujiandae kwa safari ya milele..
 
Back
Top Bottom