Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Ukimwi yaacheni kwanza!huo ukimwi unao tajwa kuwa uepungua kasi na bado uko, na watu wanasema vidonge vidonge mbona bado janga sana
Kwani wapi iliandikwa kuwa ni LAZIMA marehemu apewe sifa za uongo zisizo zake?? Tuna unafiki wa kumuona adui kila anayejaribu kumuelezea marehemu kwa usahihi, ni kweli hufahamu maana ya SUPER STAR mkuu?Acha kujifanya mjuaji, unaonekana unapoishi haukai vizuri na watu , hawakupendi.
Utakuwa dogo sana, "SINA RAHA" ilikuwaga kama wimbo wa taifa kipindi chake.Sijawahi kumsikia. RIP
Wanaume Wa Dar, Kiukweli hawa ni kutupa rupango, haiwezekani mpaka mnavalisha pampaz mnae tu ndani mnaona Kawaida..Hawa Vijana wapuuzi kweli hivi walikuwa wanasubiri Sam awaambie kuwa wampeleke hospitali?
Wanakaa na mgonjwa kama vile Ng'ombe kuwa akifa watakula nyama
Kweli ukianza kuishi Dar akili zinatoka.
R. I. P Sam "Kisiki"
Mimi pia nilipenda sana nyimbo zake bila ya hata kumjua,ila leo ndio nimeangalia video zake baada ya hii habari,nimesikitika sana.Duniani tunapita hatujui siku wala saa tutakapofumba macho na kuiacha,yatupasa tujiandae kwa safari ya milele..Pumzika kwa amani Sam wa ukweli, nilipenda kibao chako "Sina raha"
Mkuu!! Yaani hapa nausikiliza huo wimbo - You-Tube. Niliupenda huu wimbo kabla ya kujua kauimba nani!!! RIP SamPumzika kwa amani Sam wa ukweli, nilipenda kibao chako "Sina raha"
Huu wa Kulogwa ni tofauti Mkuu,huo ukimwi unao tajwa kuwa uepungua kasi na bado uko, na watu wanasema vidonge vidonge mbona bado janga sana
Its real...Ila UKIMWI upo its really tusijisahau kabisa
Mkewe anapigiwa simu mumewe mgonjwa nauli hana!!Celebrity anabebwa kwenye bajaj kwenda hospitali?