Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
wengi watafuata mkuu,kwa wasanii ukimwi ni kugusa tu wengi wameungua. time will tellChain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani