TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Chain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani
wengi watafuata mkuu,kwa wasanii ukimwi ni kugusa tu wengi wameungua. time will tell
 
Na michubuko kutoka ni kwamba mlikuwa mnacheza mieleka au mnafanya rough sex kukomoana.....

Ule mchezo hautaki hasira just relax kuwa romantic na ingia kistaarabu michubuko haitokuja ikae itokee ....[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkifanya rough sex michubuko lazima haikwepeki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti kucheza mieleka nimecheka mie
 
Ili kuepusha michubuko paka KLY au MATE
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeee kijiji cha wapi hicho

RIP Sam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…