Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..Achana naye huyo anajifanya mjuaji sana,mpotezee tu.
Bongo akuna superstar arifuKwani alikuwa superstar mpaka aringe??sam alikuwa msanii
Unajua maana ya breaking news weweeeee...au ndo vile shoboHahahaha chaumbeya wa kiume info huna lakini mbio mbio kama umeshikishwa kaa la moto kuandika habari kama kazimiaa je???
Mwanaume kifuaa babu.....ww una mapafu tu
MoramWakwiiiii???
Yaaan kisa umeona insta sudy kapost huna hata habari kamili about kifo chake includin chanzo ushakimbiliaa kupost khaaaa watu bwana yaan wanaume wa siku hizi mmekosa uvumilivu chaaa......haya tuambieee chanzo!!!
Rest in Peace sam wa ukweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee Seema umewahiwa basi....
Hahahaa [emoji1]Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..
Eti wa kurogwa! hii kaliInadaiwa kuwa amefariki kutokana na kuungua kwa muda mrefu. Na producer wake amehojiwa amesema kuwa sam aliwaambia kuwa anaumwa ukimwi, na si ukimwi wa kawaida bali ukimwi wa kurogwa.
Chanzo: millard ayo
RIP
Unajua maana breaking news? Unajua maana ya news updates? Ukikuta mtu amefariki njiani hautakiwi kutoa taarifa hadi ujue chanzo chake? Kichwani mwako kuna ubongo au maganda ya karanga?Yaaan kisa umeona insta sudy kapost huna hata habari kamili about kifo chake includin chanzo ushakimbiliaa kupost khaaaa watu bwana yaan wanaume wa siku hizi mmekosa uvumilivu chaaa......haya tuambieee chanzo!!!
Rest in Peace sam wa ukweli
[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG] Producer Steve aliekua akifanya kazi na Msanii wa BongoFLEVA Marehemu SAM WA UKWELI alietamba na “hata kwetu wapo” ameongea yafuatayo >>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa kulogwa’. () R.I.P SAM [emoji1545] [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]Nini chanzo cha kifo chake?