Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupotosha watu wewe...ukila mate ya demu mwenye ngoma or ukigusa tu papuchi yake umekwishaIli kuepusha michubuko paka KLY au MATE
Kama hivyo ndivyo mm ningekua nao kitambooAcha kupotosha watu wewe...ukila mate ya demu mwenye ngoma or ukigusa tu papuchi yake umekwisha
Sawa swahiba.Ila nyimbo za Sam ziling'ara ata pande za vijijini.Sikuwa mdogo, ila sikuwa mjini
Kwani huna?Kama hivyo ndivyo mm ningekua nao kitamboo
Ninao. Unautaka?Kwani huna?
Hahahaaaaa! Kama unao basi ni wako!! Hapa hauingii hata kwa hewa!undeni timu na akina Gigy money na Albert msando!!!!!!!Ninao. Unautaka?
Chama tunacho tunaokula "Karanga" dailyHahahaaaaa! Kama unao basi ni wako!! Hapa hauingii hata kwa hewa!undeni timu na akina Gigy money na Albert msando!!!!!!!
Umenikumbusha mbali sana kumtaja Smalll JobisoHuyo Steve ni yule dogo aliacha darasa la 5 nadhani kwa sababu ya udancer alikua anajiita Jobiso akina Koffi na Defao walimdanganya wataondoka naye miaka hiyo so IQ ni mle mle hata ukimsikiliza,Mama yake aliondoka na huo huo naye alikua dancer na akina Black Moses enzi hizo alikua anajiita Janet Jackson ndio maana alikua muwazi kuutaja Ukimwi nadhan
Huyu dogo ndo small jobiso? Dogo alivuma sana. Ila kautaja UKIMWI kama anaagiza CHIPS-ZEGE kwa EddoUmenikumbusha mbali sana kumtaja Smalll Jobiso
Unadhani ngoma niebola? ngoma inanyota sio kila mtu kwenye chain atapata kama huna nyota nao unapiga malaya nahuupati, nakuna familia znanyota yaukimwi yan kwanzia babu had wajuu wanakufa naoAcha kupotosha watu wewe...ukila mate ya demu mwenye ngoma or ukigusa tu papuchi yake umekwisha
R.I.P Faza Nelly... yereeee wanangu wa MereraniaaaBongo akuna superstar arifu
Sawa swahiba.Ila nyimbo za Sam ziling'ara ata pande za vijijini.
ukimwi wa kulogezewa etiNini chanzo cha kifo chake?
pole mpnzHuku kwetu hajulikani nakwambia, ndo kwanza nasikia hili jina sikutanii vile
Late 2000 unamaanisha miaka ya 2091 - 2099???Ni old school.Ali hit miaka ya late 2000.Bila shaka ulikuwa bado mdogo.