TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

Hasa kwa binti yake Phelister ambaye nilisoma naye O-Level Mwenge Secondary School 1977 - 1980. Pole Sana dada yangu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe.
Felister alishafariki.
 
Huyu mzee nlikuja kumuonea huruma alipoletewa figisu kwenye eneo lake
Hadi kujengwa mgorofa, maana walimmegamega sana....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…