TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Kuna mtu kaleta Uzi mapema tu kuhusu vifo vinavyoongozana TBC, kama kawaida watu wakampa za uso...

Nashangaa jioni ya leo tena kifo cha 3 au cha 4 vyote toka TBC vikiongozana.
 
Watu watasema korona sasa hv

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni korona bila chenga, hata Marine Hassan ni Corona sema hawakumpima tu,maana hawa Lutengano na yule IT aliefariki wote walikuwemo kwenye kile chumba wakiparty ,na walikuwa wengi mno.Pale walipena virus kwa sana tu.Wale wenye immunity ngangari ndo watapona.
 
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
 
Kuna mtu kaleta Uzi mapema tu kuhusu vifo vinavyoongozana TBC, kama kawaida watu wakampa za uso...

Nashangaa jioni ya leo tena kifo cha 3 au cha 4 vyote toka TBC vikiongozana.
Hiyo ndo Coronavirus haina mchezo ,inakula celi za kwenye mapafu,alveolis zinajaa maji,no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…