hebu funguka kidogo
Hatari sana......sometimes kigogo anakuwaga na credible info.....
Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Uko sahihi.Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari.Hawakushanga kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
Mbaya mgonjwa anatesekamwenyewe akifa unaenda onyeshwa kaburi lilepale acheni tuHiyo ndo Coronavirus haina mchezo, inakula celi za kwenye mapafu, alveolis zinajaa maji, no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
Mkuu ya kweri hayo, ama sjakuelewa vzr?Yenwe.kuuu WAFANYAKAZI WENGINE WAMELAZWA NGOJA LISTYA KESHO KWA MAMA TUSIKIEyenyn
Besti inakuwaje? Trondheim Norway hali tete Norway inaongoza kwa Korona Nordic. Wanadai hivi virusi vina meno ncha kali zimechongoka kam mstari wakatikati wa wembe razor sharp teeth.Hiyo ndo Coronavirus haina mchezo ,inakula celi za kwenye mapafu,alveolis zinajaa maji,no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
Mkuu fungua tu twitter uone, nimesoma TBC Anasema Kambangwa, Haonga, Gloria, kuna lecturer UDSM... Yaanihebu funguka kidogo
Hatari sanaToo sad ujinga ni mzigo.Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia,wanapuuzia.Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Corona inatafuna kimya kimyaKimesemwa kipi?
Wengine Tupo humu jf tunalilia totallockdown na tunakula kwa mama anayeuza nyanya