TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Kadiri muda unavyoenda,tunazidi kusoma habari ambazo kwa hakika zinashitua kuhusu kituo hiki cha Tv lakini wahusika wako kimya tu utadhani yasemwayo ni mambo madogo kumbe sio hata kidogo.

Usiku huu imekuja taarifa mpya na ambayo inayoongeza wasiwasi.Sasa najiuliza ni kwanini mnashindwa kutoa ufafanuzi wa madai haya au tuamini kile kinachosemwa?

Nashindwa kuwelewa!!
TBCCM inajiendesha kienyeji ni TV iliyokosa weledi mbinu mpya hawana watu wabunifu tena waliopo wamekuwa watumwa wa Lumumba wanafanya kazi kwa zidumu fikra za polepole ni Aibu chombo kikubwa cha kitaifa kufanya kazi kwa zidumu fikra za mtu binafsi
 
Kwamba wawili wamevuta ndani ya 24 hours pale TBC1

Pia Kuna watangazaji wapo na corona na wanatangaza wakiwa hoi mafua yamewakaba ugonjwa upo mjengoni wanausambaza tu.

Ila ngoja wavune walichopanda maana pale 24 ni kumsifia Magufuli baada ya kuwa live kuleta habari za corona ngoja tuone ilivyopiga hodi kwao wataendelea na yale mavipindi au watashutuka?

Halafu mnaambiwa chapeni kazi
Watatu.
 
nasikia ni corona...,je kuna ukweli juu ya hili??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.

kwani kuna alikuwa ni mgonjwa?[emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️

hii corona mbona ni shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni korona bila chenga, hata Marine Hassan ni Corona sema hawakumpima tu,maana hawa Lutengano na yule IT aliefariki wote walikuwemo kwenye kile chumba wakiparty ,na walikuwa wengi mno.Pale walipena virus kwa sana tu.Wale wenye immunity ngangari ndo watapona.

kwahiyo tbc ni mvurugano...,corona imetapakaa ryoba atakuwa ameepuka hiki kikombe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CCM bado wanazani watanzania ni wajinga kama wao hawajui kuwa watanzania wana Akili zaidi yao na wanajua sinema zote zinazofanywa na CCM
 
Mkuu Magonjwa ushaishi Trondheim? Victoire alishaishi pia mimi nilishigi huko ndio maana nikamshtua Trondheim hali tete. Alishangaa siku moja jamvini 2013 nikimtajia watu hapo.

Ngoja niwndelee na ashish yangu ya Afghanistan
Sweden wao wameamua kutokulock down nchi,watu wanaambukizana tu.Kwa nini umebadili ID?
 
Back
Top Bottom