TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Wewe jirani yangu mbona hivyo? Nilikusaidia na vibaka wasikusumbue tena unanisaliti mkuu?
Mpwakamaa unapenda kuniona jirani YAKO futa kabisa kale ka qte maswali yamezidi NJE ya pazia mpwaa 40 sijafikampwaa
 
Teh haya havidhuru weusi

Sinema la kutisha lmeanza

Mzee yupo zake chato hana habari, [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakumbuka kuna siku uliandika kwa hisia hadi mimi ilinigusa kwenye uzi jamaa akiwadhihaki maphamsist na Madaktari wauguz wa kibongo. Inaonekana huko vema kwenye hii field.

Korona ina rorate zamu yetu bado natusiombee ifike. Hawa matabibu tunao tutawakumbuka.

Chief of staff wa Buhari mtu pekee anayemuani kanasa na haifahamiki Buhari yuko wapi na hali gani acha Jiwe tu atake kava kusipojulikana
 
Mkuu nakumbuka kuna siku uliandika kwa hisia hadi mimi ilinigusa kwenye uzi jamaa akiwadhihaki maphamsist na Madaktari wauguz wa kibongo. Inaonekana huko vema kwenye hii field.

Korona ina rorate zamu yetu bado natusiombee ifike. Hawa matabibu tunao tutawakumbuka.

Chief of staff wa Buhari mtu pekee anayemuani kanasa na haifahamiki Buhari yuko wapi na hali gani acha Jiwe tu atake kava kusipojulikana
Yuko Home kwake leo ukumwona kwenye misa ya Ijumaa Kuu mkuu?
 
Mwenyezi Mungu tunu sulu sisi waja Wako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nasoma comments SMH 🤦‍♂️

Yaani sijaelewa kwamba mmefurahi Hao jamaa kupata huo ugonjwa au Vipi?

Yaani kwa sababu unatofautiana na mtanzania mwenzako kisiasa ndo unafurahi kwamba akome Sasa manake wanasupport upande flani. Sasa akipata Yeye wewe unashindwa Nini kuambukizwa?

Alafu Unakuta Leo umetoka ijumaa kuu au msikitini au kabla hujalala na wewe Unasali.

Tumefika huko?

Anyway Ngoja niende kwenye Lile jukwaa La vichekesho na vimbwanga manake Humu kunashangaza.
 
Kadiri muda unavyoenda,tunazidi kusoma habari ambazo kwa hakika zinashitua kuhusu kituo hiki cha Tv lakini wahusika wako kimya tu utadhani yasemwayo ni mambo madogo kumbe sio hata kidogo.

Usiku huu imekuja taarifa mpya na ambayo inayoongeza wasiwasi.Sasa najiuliza ni kwanini mnashindwa kutoa ufafanuzi wa madai haya au tuamini kile kinachosemwa?

Nashindwa kuwelewa!!
Unataka wajibu hata udaku mkuu? Mambo mengine wanayaacha yapite tu. Kwani kufa watu wameanza leo mkuu?
 
Ummy mwalimu anaficha takwimu lakini mungu kamuumbua kwa vifo vya watumishi wa TV yao binafsi
MZee baba linda familia na wewe basi hawa wakuu wapo kwa ajili yao na sio kwaajil ya mtu yeyote yan unaambiwa baada ya two weeks itakuwa balaa sana
 
CCM bado wanazani watanzania ni wajinga kama wao hawajui kuwa watanzania wana Akili zaidi yao na wanajua sinema zote zinazofanywa na CCM
Ukisema corona hatali linasema MBOWE AMEWASHIKA MASIKIO IVI YANADHANI KILA MTU CHADEMA NA KILA MTU NDIGU WA MBOWE , pumbavu kabisa
 
Kumbuka kuna watangazahi wa tbc wapo chato na msee.
Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom