TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Umeshindwa kuzidhibiti hisia ya hasira umeisha kutukana na kutukana ni kukufuru Muumba. Pole sana na usipende matusi ni machukizo
Huyo anayetukanatukana muache atapigwa Mungu,ujinga nao unamfanya mtu asijue cha kuchangia basi abakie kutukana,kama hana chakuchangia akae kimya kwani analazimishwa au kucomment anafikiri atapata posho?ashindwe kabisa
 
YAaani ni machukizo kweli,matusi hayapendezi hata kidogo ni kujishushia hadhi
 
Back
Top Bottom