Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Imekanushwa.. Na amekanusha pia
Jr[emoji769]
Mkuu una uhakika na hii?
Jr[emoji769]
Mkuu una uhakika na hii?
Ha ha ha kwenye kukanusha amesema taarifa imeleta shida kwa...na hata mme wakenimempenda Gloria,ana sura nazozipenda
Kwanini waziri wa afya hakututangazia kwamba mtangazaji huyo amekufa kwa Corona?Tatizo ni nini? Mbona wengine waliofariki hujashangaa?
Hivi ndugu yangu ndio kusema ulikua hujui au?Katika hiyo audio,Waziri wa kilimo, Japhet Hasunga, akiwa kanisani anasikika akitangaza kuwa mtangazaji wa TBC1,Haonga alikufu kwa corona.
Swala la msingi hiyo Corona hapo TBC iliingiaje? Maana imezoa watu wamejazana Mloganzila!
Pia inasemekana madame Ritha naye yupo Mloganzila maana alikutana na Joseph siku chache zilizopita. Mambo ni magumu kweli. Hapo TBC iliingiaje?
Kifo chake kimefichwa! Haijatangazwa kuwa kafa kwa Corona!Tatizo ni nini? Mbona wengine waliofariki hujashangaa?