Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Kidoti sio wanja, acha ushamba wako. Ni alama iliyoko mwilini isiyotoka. Sasa mtu anajufumbua macho bado unabaki na ukaidi wako. Kwahiyo kidoti cha Mwegelo ni wanja au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna miaka fulani nyuma kidoti ilikua kama fashoon mkuu unasigina tu wanja wako