TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Kwani mazishi ya Haonga nayo yameshafanyika?, yaliyotangazwa yatafanyika leo saa nne asbh na kuhudhuriwa na watu wachache ni ya IT manager marehemu Kambangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
.
tapatalk_1586593107912.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Made in the mold of FOX NEWS-MSNBC journalists. Zealously pro-employer, tenacious enemy of objectivity.

The government turned to Lutengano Haonga whenever they needed an effective spinner to anchor coverages of controversial policy events such as inauguration of Stiegler's Hydropower Plant and the arrival of new planes for the national airline.

He followed his job description to the letter, a maestro of propagandist journalism. He will be missed by the state media, TBC, and by the administration at large. May he rest in peace.
Endelea kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndivyo wengine wajisalimishe wenyewe hospitali maana ikripuka watakufa kama sisimizi
 
Aisee Fungeni hicho kituo. Wahusika wote wa TBC na wa karibu nao fungia ndani..

Wanasambaza kwa mamia kAMa hali ndo hiyo.
 
Mine eyes,
Hizo ndo sababu zilifanya asipimwe Coronavirus. Ukizingatia alikuwa hajasafiri so walijua ni magonjwa aliyonanyo. Mind you that wenye underlying diseases wanakufa haraka sana.
 
Walokole wajinga sana!

Leo nimekuwa na walokole flani, nikawaelezea wawe waangalifu.

Yakanijibu " ambao hawana Yesu ndio watakao kufa na korona"

Pumbavu kabisa! ndiyo maana walokole wanasemekana wamechanganyikiwa kidogo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti ambao hawana Yesu ndio watakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndo sababu zilifanya asipimwe Coronavirus. Ukizingatia alikuwa hajasafiri so walijua ni magonjwa aliyonanyo. Mind you that wenye underlying diseases wanakufa haraka sana.
Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?
 
Back
Top Bottom