TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Nasema tu lakini inaweza kuwa sio kweli.

Kama yule mzee waliyemzika zanzibar alikuwa kwa corona.

Basi huko zanzibar kutakuwa na shida sana.

Huku kwetu tumezoea shida.
 
Yaah am a neurosurgeon i mean am studying it right now, 3 years still to finish my masters here

I wonder how Tanzanians put jokes na hii kitu

Eti kusali , hivi italy hawasali ??

Iran je kwa waislam wenyewe ani

Yaani tuna tatizo sana sijui fahamu zetu zipoje

Unatoa wanafunzi shule ila wanaenda tena kukusanyika makanisani na misikitini

Basi wewe kma rais himiza hata social distancing watu wanapofanya hizo kazi wanazofanya

Anyway endeleeni kusali

After loosing my friend in Italy now i understand
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Rais hajahimiza social distancing? acheni propaganda za kipumbavu, Rais kila aongeapo lazima ahimize wananchi kuchukua tahadhari zote zinazoelekezwa na wataalamu, miungoni mwa tahadhari hizo hiyo social distancing haipo? hakuna asojua korona ni hatari na usitegemee Rais akulinde usipochukua tahadhari wewe na family yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alikuwa na sauti ya pekee, alikuwa hatumii nguvu kuzungumza, alikuwa akinivutia mno..!

Apumzike kwa amani..!
 
Kadiri muda unavyoenda,tunazidi kusoma habari ambazo kwa hakika zinashitua kuhusu kituo hiki cha Tv lakini wahusika wako kimya tu utadhani yasemwayo ni mambo madogo kumbe sio hata kidogo.

Usiku huu imekuja taarifa mpya na ambayo inayoongeza wasiwasi.Sasa najiuliza ni kwanini mnashindwa kutoa ufafanuzi wa madai haya au tuamini kile kinachosemwa?

Nashindwa kuwelewa!!
Wameshazoea unafiki, hawana akili za kufikiria ukweli ingawa wanaujua!

Sent using Smartika kitochi
 
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Mkuu ndo ujue kuwa serikali ilikuwa inatoa taarifa za uwongo juu ya maambikizi ya Corona nchini na kuwafanya wananchi wajiamini. Vifo vitaendelea kuiumbua wizard ya afya maana wanaokufa ni wale ambao hawakuwa reported from the beginning.
 
Walokole wajinga sana!

" ambao hawana Yesu ndio watakao kufa na korona"

Pumbavu kabisa! ndiyo maana walokole wanasemekana wamechanganyikiwa kidogo.
Kwa imani yao kuacha kupumua na mzunguko wa damu kusimama sio kufa “sitakufa bali nitaishi” kwahiyo inawezekana wewe haukuelewa ama yeye nae alikalilishwa na mchungaji wake bila kuelewa maana ya neno hilo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom