TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Mimi ni Mr Nemesi nawachora tu mnavyotoa mashudu 😊
 
Besti inakuwaje? Trondheim Norway hali tete Norway inaongoza kwa Korona Nordic. Wanadai hivi virusi vina meno ncha kali zimechongoka kam mstari wakatikati wa wembe razor sharp teeth.

Vikiingia mwilini puani na mdomoni target yao ni mapafu havitaki organ nyingine. Lakini vinavyoshuka kwaanzia ulimini, kooni oesophagus hadi mapafuni ni kung'atang'ata tuu ndio maana dalili za mwanzo za kovidi ni ulimi kuuma na koo kukereketa na kuwaka moto hapo vinashuka final destination lungs.

Vikifika kwenye lungs vinang'ata balaa aggressively and violently na kutoboatoboa matundu na mapafu kubaki kama chujio causing huge damage with devastating impact leaving the victim hopeless and helpless dying a terrible desperate agonising death hapo kifo kinatokea.

This shyt is real Beijing must be held accountable for this mess.

Really this fakin virus sucks!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too sad ujinga ni mzigo. Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia, wanapuuzia. Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Kila siku mnatuambia wiki mbili zijazo .ni miezi miwili sasa toka nisikie mambo ya wiki mbili zijazo
 
Kila siku mnatuambia wiki mbili zijazo .ni miezi miwili sasa toka nisikie mambo ya wiki mbili zijazo
Kwa jinsi hali ilivyo kuna watu wanakufa na Corona bila hata kujulikana ni Coronavirus .Sasa imegusa big names ndo utasikia.
 
Kwa jinsi hali ilivyo kuna watu wanakufa na Corona bila hata kujulikana ni Coronavirus .Sasa imegusa big names ndo utasikia.
Sasa hivi ukienda hospitali hata kama unaumwa kidole lazima wachukue sampuli,Mungu atatuvusha salama dada
 
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
mbaya zaidi Marini alizikwa na mamia ya watu.
 
Back
Top Bottom